PICHA NA MATUKIO


News

Waziri Dkt. Mwakyembe akizungumza na wasanii na wadau wa sanaa.

MamaC akiburudisha watazamaji.

Silvia Sebastian, Baada ya kutwaa taji la Miss Tanzania 2019.

Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Bw. Onesmo Kayanda (kulia) akimpongeza Msanii wa nyimbo za injili nchini Bi. Catherine Madii Lukindo maarufu kama "Catty Yatosha" @catty_yatosha baada ya kushinda na kupata tuzo za "OUTREACH CARE"

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Mhe.Rais wa JMT John Pombe Magufuli ametoa zawadi ya vitabu vya kusoma na kujifunza lugha ya Kiswahili kwa Mhe.Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ameahidi kutoa fursa kwa walimu wa Kiswahili kutoka Tanzania.

Kwa mara ya kwanza kazi za Wasanii wa Tanzania zimeonyeshwa kwenye Maonyesho ya kimataifa Ya Sanaa jijini Hong Kong.

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kupitia Bodi ya Sanaa wamekutana na wasanii kutoka kada mbalimbali na kujadili changamoto na namna ya kuzitatua ili kuweza kuipeleka mbele tasnia hiyo ambayo inachangia pato la taifa kwa asilimia 13.5.

Copyright © 2019. All Rights Reserved.