Habari na Matukio

Tarehe: 16/10/2019

MSANII MENINA ABDULKARIM ATINGA BASATA

Na Mwandishi Wetu

Mara kadhaa BASATA kupitia utaratibu wake wa kutoa Elimu kwa wasanii na Umma wamekuwa wakiwaelekeza wasanii wote kote nchini kufanya kazi zao za Sanaa kwa kuzingatika maadali mema kwa jamii,pamoja na kufuata taratibu za kujisajili,lakini kwa bahati mbaya baadhi ya wasanii wamekuwa hawazingatii maelekezo hayo na hivyo kujikuta wanavunja sheria za nchi. Kupitia mahojiano kati ya Msanii na BASATA kwa pamoja wamesiliza maelezo ya Msanii Menina Abdulkarim na nini kilichojitokeza katika sakata zima la kusambaa kwa video na picha zake za utupu kupitia mitandao ya kijamii.
Kwa kuwa suala la kusambaa video na picha za utupu za Msanii Menina katika mitandao ya kijamii lipo mikononi mwa mamlaka nyingine,BASATA imeamua kuyafanyika kazi maelezo yake.


Imetolewa na;

Godfrey L. Mngereza
KATIBU MTENDAJI, BASATA
Copyright © 2021. All Rights Reserved.