HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 13/10/2022

Mcheza filamu na mwanamitindo wa kimataifa kutoka Uingereza Ndugu Oris Orhuero Leo tarehe 13 Oktoba, 2022


Read more...






Tarehe: 12/10/2022

Kikao mkakati cha ushirikiano kuinua sekta ya Sanaa Kati ya watendaji wa BASATA na wadau kutoka ubalozi wa Ufaransa kimefanyika Leo tarehe 12 Oktoba, 2022


Read more...






Tarehe: 05/10/2022

Kamati ya Mdundo wa Kitaifa iliyoundwa hivi karibuni na Waziri Tamaduni Sanaa na Michezo Mohamedi Mchengrwa imepokea maoni Kutoka kwa Wadau mbalimbali wa muziki


Read more...






Tarehe: 23/07/2022

TANGAZO LA FURSA YA KUANDAA ZAWADI YA PAMBO LA TANZANIA KWENYE MAKAO MAKUU YA UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK






Tarehe: 25/01/2021

KIKAO CHA MAENDELEO YA SANAA KANDA YA KASKAZINI MWAKA 2020/2021


Read more...


Tarehe: 25/06/2020

BASATA YAPONGEZWA






Tarehe: 20/06/2020

BASATA YATOA MUONGOZO WA JINSI GANI WASANII NA WADAU WA SANAA WATAFANYA SHUGHULI ZAO Z SANAA KATIKA KIPINDI HIKI CHA JANGA LA CORONA











Tarehe: 15/05/2020

"ONDOKA ZAKO CORONA, NENDA KAFILIE MBALI"

Read more...

Tarehe: 15/05/2020

BODI YA BASATA YAKUTANA NA WADAU WA SANAA

Read more...

Tarehe: 15/05/2020

BASATA YATOA UFAFANUZI KUHUSIANA NA ZAWADI ZA MSHINDI WA BONGO STAR SEARCH 2019






Tarehe: 12/05/2020

BASATA YAANZISHA ZOEZI LA KUKUSANYA MAONI JUU YA MAREKEBISHO YA KANUNI ZAKE ZA MWAKA 2018




Tarehe: 20/03/2020

ZIARA YA KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO DKT. HASSAN ABBAS MAKAO MAKUU YA BASATA JIJINI DAR ES SALAAM.


Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 10/03/2020

TAARIFA YA KIKAO MAALUMU CHA TATU CHA BODI YA BASATA KILICHOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM.


Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 03/03/2020

MAKALA

INNOCENT MATHEW


Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 28/02/2020

KAZI YA SANAA NI CHANZO MUHIMU KWA WASANII CHA KUJIPATIA KIPATO ENDAPO FANI HII ITAFANYWA KWA KUZINGATIA WELEDI HAPA NCHINI.


Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 14/02/2020

KIKAO CHA KATIBU MKUU NA WAFANYAKAZI WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO DKT. HASSAN ABBAS. KATIBU MKUU NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI


Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 12/02/2020

HATIMAYE MSANII WA BONGO FLEVA GODFREY TUMAINI (DUDU BAYA) APATA KIBALI CHA KUENDELEA NA KAZI YAKE YA SANAA YA MUZIKI


Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 30/01/2020

WABUNIFU WA MAVAZI WAHIMIZWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI ZAIDI KAMA NJIA MOJAWAPO YA KUKIDHI MAHITAJI YA SOKO NDANI NA NJE YA TANZANIA


Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 18/01/2020

WABUNIFU WA MAVAZI NCHINI TANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA KATIKA KUUZA MAVAZI YAO NDANI NA NJE YA NCHI


Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 12/01/2020

DKT. ALLY POSSI ASISITIZA UMOJA MIONGONI MWA WASANII


Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 14/12/2019

MAAFALI YA 24 YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM(DSJ) TAREHE 13 DESEMBA 2019


Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 5/12/2019

MWALIKO WA WASANII KUTEMBELEA MAONESHO YA NNE YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA KUANZIA TAREHE 5-9 DECEMBA 2019

Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 2/11/2019

WASANII KATIKA FANI YA UCHORAJI WASHAURIWA KUCHORA PICHA ZENYE KUAKISI MAISHA HALISI YA JAMII YETU KIUCHUMI, KIJAMII, MILA NA UTAMADUNI WA MTANZANIA



Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 24/10/2019

ATHARI ZA MAUDHUI YA KAZI ZA SANAA ZISIZOZINGATIA UTU WA MWANAMKE NA MAKUZI YA WATOTO



Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 24/10/2019

WAIGIZAJI MAARUFU WA FILAMU YA ODE TO JOY (QIAO XIN NA LIU TAO)WATOA SHUKURANI KWA WATANZANIA.



Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 22/10/2019

TATHIMINI YA SHINDANO LA MISS TANZANIA 2019



Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 20/10/2019

BASATA YAWAPONGEZA Diamond, Rayvanny na Nandy kushinda Tuzo Marekani



Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 19/10/2019

TAMASHA LA 38 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO



Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 16/10/2019

MSANII MENINA ABDULKARIM ATINGA BASATA



Msanii Menina Abdulkarim ambaye anafanya kazi zake za sanaa kama Msanii wa Bongo flave, MC, na Muigizaji wa filamu hapa nchini hatimaye amefika katika Ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA) zilizopo Sharif Shamba,Ilala jijini Dar Es Salaam ili kutoa maelezo yake juu ya kusambaa kwa video na picha zake za utupu kupitia mitandao ya kijamii.

Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 15/10/2019

BASATA YATAKIWA KUPELEKA MAFUNZO YA BATIKI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake, Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Mhe. Bi. Mwantatu Mbaraka Khamis amelishauri Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kupeleka mafunzo ya kutengeneza nguo za batiki kisiwani Zanzibar ili kuwaandaa vijana hasa wanawake kukabiliana na changamoto ya ufinyu wa ajira.



Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 11/10/2019

JAROMAX PALACE HOTEL WADHAMINI SHINDANO LA KIMATAIFA LA MISS UTALII TANZANIA.



Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 11/10/2019

KUMBUKIZI YA KIFO CHA BABA WA TAIFA, MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE



Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 8/10/2019

WASANII WA PILIPILI MUSIC MANIA WAPEWA VYETI VYA USAJILI KUTOKA BASATA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA),Ndugu Godfrey Mngereza,amewataka wasanii kuwa makini wakati wanapoingia mikataba inayohusisha shughuli za kisanaa,na pia kuhakikisha kuwa wanafanyakazi kwa kuzingatia misingi na taratibu za Baraza la sanaa la Taifa.



Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 8/10/2019

MAANDALIZI YA SHINDANO LA MISS UTALII 2019/2020 YAZIDI KUPAMBA MOTO



Bodi ya mashindano ya Miss Utalii Tanzania 2019/2020 inaendelea vyema na mchakato wa maandalizi ya shindano hili kubwa hapa Tanzania ambapo fainali ya shindano hili litafanyika June-July 2020 jijini Dar Es Salam.

Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 28/09/2019

KUFUNGWA RASMI KWA MATAMASHA YA JAMAFEST NA URITHI FESTIVAL 2019 JIJINI DAR ES SALAAM.

Tamasha la nne la kiutamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki yaani Jamafest 2019 limefungwa rasmi na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Balozi Seif Ali Iddi ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi na kuwakabidhi Nchi ya Burundi bendera ikiwa ni ishara ya kwamba tamasha lijalo la mwaka 2021 litafanyikia Nchini humo. Mh. Balozi Seif Ali ameishukuru sana Serikali na waandaaji wa Jamafest, Nchi za jumuiya ya Afrika mashariki walioshiriki tamasha hili kwa mwaka huu pia wabunifu wa kazi mbalimbali na wasanii wa sanaa mbalimbali kwa kujitoa kushiriki kikamilifu kuonyesha urithi wa utamaduni wetu kama Waafrika, kubadilishana mawazo na ujuzi kwa lengo la kusaidia na kuinua uchumi

Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 27/09/2019

JAMAFESTIVAL FASHION SHOW 2019 JIJINI DAR ES SALAAM TANZANIA



Tamasha la Utamaduni (JAMAFEST) la Jumuiya ya Afrika Mashariki hushirikisha wasanii na wadau wa Sanaa na Utamaduni kutoka katika mataifa sita ya Jumuiya ya Afika Mashariki ambapo katika Tamasha la mwaka huu 2019 nchi za Rwanda, Kenya, Uganda, Tanzania, Burundi zimeshiriki isipokuwa nchi ya Sudan ya Kusini imeshindwa kushiriki.

Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 27/09/2019

BASATA NA MSANII WA KAZI ZA MIKONO KUTOKA KENYA KWENYE TAMASHA LA KIUTAMADUNI LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JAMAFEST 2019

Mjasiriamali na msanii wa kazi za mikono kutoka nchini Kenya Mary Mutisya ameshukuru sana waandaaji wa Tamasha la kiutamaduni la jumuiya ya Afrika Mashariki jamafest 2019 kwa kuwawezesha kujitangaza na kuonyesha kazi zao mbalimbali wanazofanya kwenye kampuni yao.

Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 26/09/2019

BASATA NA MSANII KUTOKA RWANDA KATIKA TAMASHA LA JAMAFEST 2019 JIJINI DAR ES SALAAM TANZANIA

Moja ya kazi nzuri za uchoraji kwenye tamasha la kiutamaduni la jumuiya ya Afrika Mashariki ni kutoka nchini Rwanda ambapo Mchoraji mpFizi Eugene na mmiliki wa MpFiziArt LTD ambaye kuonyesha kazi zake anazochora na vitu anavyotumia kuchora ambavyo ni utamaduni wa kiafrika kutokea nchini Rwanda

Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 26/09/2019

BASATA NA WASANII WA JAMAFEST 2019 JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA

Divine Nduwimana, Huyu ni msanii katika fani ya uchoraji kutoka nchini Burundi na nimliki wa kampuni ya Divine-Ndu Art House iliyopo Bujumbura akiwa ni mmoja washiriki wa Jamafest 2019. Kitaaluma Divine ana shahada ya kwanza katika fani ya kilimo.

Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 25/09/2019

SANAA ZA UCHONGAJI NA UCHORAJI KUTOKA BURUNDI

Baraza la Sanaa la Taifa lilifanikiwa kufanya mahojiano na mwanakikundi wa Sanaa kutoka Burundi Bwana Nkurikiye Jamari ambaye ametokea katika shirika la muungano wa wafanyakazi waajasiriamali na anajihusisha na Sanaa ya uchoraji ,chongaji na utengenezaji wa samani za ndani kama vile vitanda, makabati, viti nk.

Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 24/09/2019

USAJILI WA WASANII PAMOJA NA VIKUNDI VYA SANAA KWENYE BANDA LA BASATA KATIKA MAONYESHO YA JAMAFEST 2019



Kazi zinazofanywa na Baraza la Sanaa la Taifa ni pamoja na kufufua, kukuza na kuongeza maendeleo ya utengenezaji wa kazi bora za Sanaa, kufanya utafiti wa kazi mbalimbali za Sanaa na kutoa ushauri na misaada ya kitaalamu kwa asasi au watu wanaojishughulisha na shughuli za Sanaa na kuwasajili wasanii na wadau wa Sanaa

Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 23/09/2019

NCHI YA MAYOTTE YAFUNGUA KITUO KIKUBWA CHA VITABU VYA ELIMU NCHINI TANZANIA

Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Harrison Mwakyembe ametoa wito kwa Watanzania hususani Vijana kujenga Utamaduni wakupenda kujisomea vitabu kama njia mojawapo ya kujipatia maarifa kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu.

Read more...


Tarehe: 22/09/2019

JAMAFEST 2019 YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan,jijini Dar Es Salaam nchini Tanzania amezindua rasmi tamasha la nne la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Jamafest 2019) na tamasha la Urithi linalo ratibiwa na wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo na Wizara ya Maliasilina Utalii Tanzania.



Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 21/09/2019

MAPOKEZI YA WAGENI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KWA AJILI YA TAMASHA LA JAMAFEST 2019 JIJINI DAR ES SALAA-TANZANIA.

JAMAFEST ni Tamasha la utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki linalohuisisha Nchi wanachama zikiwemo Tanzania, Rwanda , Kenya, Burundi, Uganda kwa lengo la kudumisha umoja na kuimarisha ushirikiano wa karibu kwenye nyanja za Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 17/09/2019

UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2019

Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA) Godfrey Mngereza amewahimiza wasanii wa Sanaa mbalimbali kote nchini kushiriki katika chaguzi za Serikali za mtaa 2019 kwa kutumia sanaa zao kuihamasisha jamii inayowazunguka,kama njia mojawapo ya kutoa elimu kuhusiana na Chaguzi hizo.

Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 12/09/2019

TANZIA.



Mchekeshaji maarufu nchini Martha M.Shilole maarufu kama Boss Martha ameaga dunia tarehe 11/09/2019 katika hospitali ya Kisarawe baada ya kuugua uti wa mgongo . Marehemu alikuwa mmoja wa wachekeshaji katika jukwaa la cheka tu hadi umauti ulimpofika. Baraza linatoa pole kwa familia ya marehemu, wasanii, ndugu, jamaa ,marafiki na watanzani wote ambao wameguswa na msiba huu. Aidha ,Baraza limesikitishwa sana msiba huu mzito kwani mchango wake katika tasnia hii ya sanaa bado ulikuwa unahitajika. Baraza linaungana na familia ya marehemu hasa katika kipindi hiki kigumu cha kuondekewa na mpendwa wetu.

Godfrey L. Mngereza
KATIBU MTENDAJI, BASATA




HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 28/08/2019

KIKAO CHA MH. WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO DK. HARRISON MWAKIYEMBE PAMOJA NA WASANII NA WADAU WA SANAA

Waziri wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo Dr.Harrison Mwakyembe ameongea na wasanii na wadau wa Sanaa kwenye ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Center (JNICC), kuhusiana na wazo la kuunganisha taasisi za BASATA, Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) na BODI YA FILAMU.

Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 25/08/2019

ONGALA FESTIVAL KUENZI MUZIKI WA DANSI NA MUZIKI WA ASILI

Tamasha la Ongala Festival lilliokuwa likifanyika Kwa sikutatu, kuanzia tarehe 23 Agosti na kuhitimishwa tarehe 25 Agosti 2019, katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagomoyo, mkoani Pwani likibeba lengo la kuenzi mziki wa dansi na muziki asili.

Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 24/08/2019

SHINDANO LA MISS TANZANIA 2019.

Shindano la kumsaka mlimbwende wa Tanzania yaani Miss Tanzania limefanyika usiku wa kuamkia jumamosi tarehe24 Agosti, 2019 katika ukumbi wa Kisena Millenium Tower, Dar es salaam nakuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ambaye ndio alikuwa mgeni rasmi.

Read more...


HABARI NA MATUKIO

Tarehe: 12/07/2017

TCRA YAHIMIZWA WASANII JUU YA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO YA KIJAMII

Read more...


Tarehe: 07/07/2017

MH. DR.HARISSON MWAKYEMBE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA MSIBA WA MSANII SHABANI DEDE.

Read more...


Tarehe: 13/04/2017

BASATA LAPIGA MARUFUKU DISCO TOTO, KUMBI ZISIZO NA VIBALI.

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini limepiga marufuku kumbi zote za burudani zisizo na vibali kufanya maonesho ya aina yoyote.

Read more...


Tarehe: 30/09/2016

BASATA YAMPONGEZA MUSTAFA HASANNALI KWA KUSHINDA TUZO YA UBUNIFU WA MAVAZI

Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lenye dhamana ya kufufua, kukuza na kuendeleza Sanaa nchini linapenda kuchukua nafasi hii kumpongeza msanii na mbunifu wa Mavazi Mustafa Hassanali kwa kushiriki kinyanga�anyiro cha Tuzo ya Mavazi ya Afrika Mashariki Kenya 2016 (Kenya Fashion Awards 2016) yaliyofanyika tarehe 03/09/2016 na kupata tuzo ya Mbunifu Bora wa Mwaka wa Afrika Mashariki.

Read more...

Tarehe: 27/07/2016

KUFUNGIWA KWA MSANII NAY WA MITEGO KUJIHUSISHA NA KAZI ZA SANAA KWA MUDA USIOJULIKANA

Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego hadi hapo litakapojiridhisha kwamba ametekeleza maagizo yote aliyopewa na Baraza sambamba na yeye kubadilika katika kubuni kazi zenye maadili na zisizo dhalilisha watu wa kada mbalimbali.

Read more...

Tarehe: 21/07/2016

KALA JEREMIAH, SUPER NYAMWELA KUPAMBA MSIMU MPYA WA JUKWAA LA SANAA LA BASATA

Na Mwandishi Wetu

Wasanii Kala Jeremiah na Super Nyamwela wanatarajiwa kupamba msimu mpya wa programu ya Jukwaa la Sanaa ambayo imekuwa ikiendeshwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kushirikiana na chama cha waandishi wa habari za Sanaa na Utamaduni (CAJAtz) kwa miaka mitano sasa tangu mwaka 2011.

Read more...

Tarehe: 05/07/2016

BASATA LAPIGA MARUFUKU DISCO TOTO, KUMBI ZISIZO NA VIBALI.

Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini limepiga marufuku kumbi zote za burudani zisizo na vibali kufanya maonesho ya aina yoyote.

Read more...

Tarehe: 30/05/2016

HABARI PICHA: BASATA, HAANNEEL WAZINDUA MATUKIO YA SIKU YA MSANII KWA MWAKA 2016

Na Mwandishi Wetu

Habari picha: Basata, Haanneel wazindua matukio ya siku ya msanii kwa mwaka 2016

Read more...

Tarehe: 03/05/2016

MAAZIMISHO YA SIKU YA MUZIKI WA JAZZ DUNIANI YAFANA
Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewaongoza zaidi ya wasanii na wadau wa Sanaa mia moja katika maadhimisho ya siku ya Jazz duniani yaliyofanyika makao makuu ya Baraza hilo yaliyoko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam.


Read more...

Tarehe: 29/04/2016

BASATA KUAZIMISHA SIKU YA MUZIKI WA JAZZ
Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linalojishughulisha na Elimu na Sayansi (UNESCO) litaungana na wasanii mbalimbali nchini na wadau wa Sanaa kuazimisha siku ya muziki wa Jazz duniani ambayo kwa mara ya kwanza itaazimishwa nchini Mei 2, 2016.


Read more...

Tarehe: 20/04/2016

WADAU WATAKA SIKU YA MSANII IAZIMISHWE NCHI NZIMA
Na Mwandishi Wetu

Wasanii na wadau wa Sanaa wameomba kuwe na juhudi za halmashauri na mikoa yote nchini kuunga mkono maazimisho ya siku ya msanii ambayo yamekuwa yakiadhimishwa kila mwaka hapa nchini.


Read more...

Tarehe: 24/03/2016

BASATA YAONYA KUMBI ZISIZOFUATA TARATIBU ZA VIBALI, YAPIGA MARUFUKU DISKO TOTO
Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini linawakumbusha wamiliki na waendeshaji wa kumbi za burudani kufuata sheria, kanuni na taratibu walizopewa kwenye vibali vyao vya uendeshaji wa kumbi.


Read more...

Tarehe: 07/03/2016

BASATA YAWAPONGEZA WASANII LULU NA RICH RICH KUSHINDA TUZO ZA AMVCA 2016
Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini linapenda kutoa pongezi za dhati kwa Wasanii Singo Mtambalike (Rich Rich) na Elizabeth Michael (Lulu) kwa kushinda tuzo za African Magic Viewers' Choice Awards (AMVCA2016) zilizotolewa mwishoni mwa wiki nchini Nigeria na kushuhudiwa na Dunia kupitia luninga na mitandao ya kijamii.


Read more...

PRESS RELEASE

Tarehe: 24/02/2016

BASATA YAONYA WASANII DHIDI YA MATAPELI
Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawataka wasanii wote kuwa makini na wakuzaji Sanaa (Mapromota) au baadhi ya wanaojiita wadau wa Sanaa ambao wamekuwa wakitumia njia za kiulaghai na utapeli katika kujipatia faida na manufaa kupitia mgongo wa Wasanii.


Read more...

PRESS RELEASE

Tarehe: 17/02/2016

BASATA LAMPONGEZA MSANII JOSEPH STANFORD ALIYETEMBEA KWA MIGUU KUTOKA MWANZA HADI DAR ES SALAAM KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI
Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limempongeza Msanii Joseph Stanford kutoka Mwanza aliyetembea kwa miguu umbali wa zaidi ya kilometa 1200 kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutokana na utendaji wake pia uundaji wa Idara ya Sanaa iliyo chini ya Wizara ya Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni.


Read more...

PRESS RELEASE

Tarehe: 15/02/2016

BASATA LAAGIZA WASANII WOTE KUSAJILIWA, LAONYA MAPROMOTA WATAKAOTUMIA WASANII WASIOSAJILIWA
Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawataka wasanii wote nchini kuhakikisha wamesajiliwa na kuwa na vibali vya Baraza kwani kufanya vinginevyo ni kuvunja sheria ya Bunge namba 23 ya mwaka 1984 iliyolianzisha BASATA ambayo inamtaka mtu yeyote anayejihusisha na shughuli za Sanaa kuwa amesajiliwa na kupewa kibali na BASATA.


Read more...

PRESS RELEASE

Tarehe: 12/02/2016

BASATA YAUPIGA MARUFUKU WIMBO WA SHIKA ADABU YAKO WA MSANII NAY WA MITEGO
Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia rasmi wimbo wa 'Shika Adabu Yako' ulioimbwa na Msanii Nay wa Mitego kutokana na ukiukwaji mkubwa wa maadili, kashfa, uchochezi, kudhalilisha watu na kuhatarisha amani na utengamano miongoni mwa wasanii na jamii kwa ujumla.


Read more...

PRESS RELEASE

Tarehe: 02/02/2016

WASANII WATAKIWA KUKATAA RUSHWA KWENYE KAZI ZAO
Na Mwandishi Wetu

Wasanii nchini wametakiwa kujituma na kutengeneza kazi za Sanaa zenye ubora na kuachana na dhana ya kutegemea rushwa na hongo katika kuyafikia mafanikio yao kisanaa.


Read more...

PRESS RELEASE

Tarehe: 20/11/2015

BASATA YAWAPIGA MSASA VIONGOZI WA VYAMA VYA WASANII
Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewapa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo katika maeneo mbalimbali viongozi wa vyama na taasisi zinazojihusisha na wasanii ili kujenga ufanisi zaidi katika sekta ya Sanaa.


Read more...

PRESS RELEASE

Tarehe: 13/11/2015

PROFESA ELISANTE AIPONGEZA BASATA KWA UTENDAJI KAZI, ATAKA JUHUDI ZAIDI
Na Mwandishi Wetu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel amelipongeza Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa mafanikio yake katika kuratibu na kuisimamia sekta ya Sanaa nchini huku akitaka juhudi zaidi ziongezwe katika maeneo ya kuwatafutia wasanii masoko.


Read more...

PRESS RELEASE

Tarehe: 07/11/2015

WASANII WATAKIWA KUCHAGAMKIA MAAZIMISHO YA SIKU YAO
Na Mwandishi Wetu

Wasanii nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuhamasika na kushiriki kikamilifu kwenye maazimisho ya Siku ya Msanii maarufu kama Msanii Day ambayo yanatazamiwa kufanyika mwezi Desemba mwaka huu wa 2015 jijini Dar es Salaam na maeneo mbalimbali nchini.


Read more...

PRESS RELEASE

Tarehe: 05/11/2015

BASATA KUWAKUTANISHA WASANII KUIJADILI SIKU YA MSANII
Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Ijumaa hii ya tarehe 06/11/2015 linatarajia kuyakutanisha mashirikisho na vyama vya wasanii nchini kwenye Ukumbi wa BASATA ulioko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam ili kuweka mikakati ya pamoja katika kufanikisha siku ya msanii maarufu kama Msanii Day inayotarajiwa kufanyika tarehe 12/12/2015.


Read more...

PRESS RELEASE

Tarehe: 12/10/2015

BASATA LAWAPONGEZA WASANII DIAMOND, VANESSA MDEE NA OMMY DIMPOZ KWA KUSHINDA TUZO ZA AFRIMMA
Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) likiwa ni msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini linapenda kutoa pongezi za dhati kwa Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Nassib Abdul maarufu kama Diamond, Omary Faraji Nyembo maarufu kwa jina la Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee maarufu kwa jina la Vee Money kwa kushinda tuzo mbalimbali kwenye Tuzo za African Music Magazine Awards (AFRIMMA) zilizofanyika jijini Dallas nchini Marekani.


Read more...

TANGAZO KWA WASANII WOTE NA VYOMBO VYA HABARI

Tarehe: 29/09/2015

BASATA, WADAU WAWEKA MIKAKATI KUUPA HADHI MUZIKI WA REGGAE
Na Mwandishi Wetu

Wadau wa muziki wa reggae nchini kwa kujengewa mazingira na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) wameweka mikakati ya pamoja ya kuhakikisha wanaurudisha jukwaani muziki huo na kuainisha changamoto mbalimbali zinazoukabili.


Read more...

PUBLIC NOTICE

Tarehe: 24/09/2015

BASATA LATAKA KUONDOLEWA/KUSITISHWA MARA MOJA KUCHEZWA KWA NYIMBO ZOTE ZENYE KUKENGEUKA MAADILI, SHERIA NA TARATIBU
Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawaagiza wasanii, wamiliki na waendeshaji wa wavuti, tovuti na vyombo vya habari hususan radio na runinga kuondoa na kuacha mara moja kurusha au kutangaza au kucheza nyimbo zote zenye maudhui ya kashfa, matusi, kejeli, udhalilishaji ambazo zinahatarisha kuigawa jamii ya kitanzania katika misingi yoyote hasa katika kipindi hiki Taifa linapoendelea na kampeni za kisiasa na kujiandaa na uchaguzi mkuu.

Read more...

TANGAZO KWA WASANII WOTE NA VYOMBO VYA HABARI

Tarehe: 01/09/2015

MWASITI AWATAKA WASANII WABADILIKE, WAZINGATIE MAADILI WAWAPO JUKWAANI
Na Mwandishi Wetu

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Mwasiti Almas amewataka wasanii wenzake kuwa wabunifu katika kutanua mianya ya kujiingizia kipato na kuhakikisha wanazingatia maadili wawapo jukwaani ili kulinda hadhi zao.

Read more...

TANGAZO KWA WASANII WOTE NA VYOMBO VYA HABARI

Tarehe: 17/08/2015

PAUL MAKONDA AIPONGEZA BASATA KWA KUJALI AFYA ZA WASANII
Na Mwandishi Wetu

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ndugu Paul Makonda amelipongeza Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kujali afya za wasanii kufuatia kuandaa semina maalum kwa ajili ya kuwaelimisha wasanii umuhimu wa kuwa na bima ya afya.

Read more...

TANGAZO KWA WASANII WOTE NA VYOMBO VYA HABARI

Tarehe: 17/08/2015

BASATA YALIFUNGULIA SHINDANO LA MISS TANZANIA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelifungulia shindano la urembo la Miss Tanzania baada ya mwandaaji wake Kampuni ya LINO International Agency Limited kufuata taratibu, kuomba radhi na kuyafanyia kazi baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza na kutekeleza masharti aliyopewa.

Read more...

TANGAZO KWA WASANII WOTE NA VYOMBO VYA HABARI

Tarehe: 11/08/2015

WASANII WATAKIWA KUWAKUMBUKA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

Na Mwandishi Wetu


Wasanii nchini wametakiwa kurejesha kwa jamii sehemu ya faida wanayoipata kupitia kazi zao za Sanaa kwa kuwakumbuka watoto wenye mahitaji maalum ili kujijengea mtandao wa kudumu wa masoko, uhalali na taswira nzuri kwa jamii.

Read more...

TANGAZO KWA WASANII NA WADAU WOTE WA SANAA

Tarehe: 05/08/2015

YAH: TAMASHA LA NANE LA KIMATAIFA LA KUIMBA NYIMBO ZA DINI PAMOJA NA ZA SUFI MUSIC, CAIRO - MISRI

Baraza la Sanaa la Taifa limepokea barua toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo juu ya Tamasha tajwa linalotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 20 mpaka 27/9/2015.

Read more...

TANGAZO KWA WASANII WOTE NA VYOMBO VYA HABARI

Tarehe: 31/07/2015

YAH: KUFUNGIWA KWA MSANII ZUENA MOHAMED MAARUFU KAMA SHILOLE KUJISHUGHULISHA NA KAZI ZA SANAA KWA MUDA WA MWAKA MMOJA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini limemfungia msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Zuena Mohamed kwa jina la kisanii Shilole kufanya shughuli za sanaa nchini kwa muda wa mwaka mmoja kuanzia tarehe 24/07/2015 hadi tarehe 24/07/2016.

Read more...

TANGAZO KWA WASANII WOTE NA VYOMBO VYA HABARI

Tarehe: 30/07/2015

WASANII WAELEZWA UMUHIMU WA KUJIWEKEA AKIBA

WASANII nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba katika mifuko mbalimbali ya jamii kwa kuwa kufanya hivyo kuna kumuhimu mkubwa katika maisha yao baada kuwa wamestaafu kazi zao au wanapokuwa hawana tena uwezo wa kufanya kazi.

Read more...

TANGAZO KWA WASANII WOTE NA VYOMBO VYA HABARI

Tarehe: 24/07/2015

WASANII WATAKIWA KUFUATA TARATIBU WANAPOENDA NJE YA NCHI ILI KUEPUKA MATATIZO NA MIKANGANYIKO INAYOWEZA KUJITOKEZA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa nchini linawakumbusha wasanii wote nchini kuhakikisha wanafuata sheria, kanuni na taratibu zilizopo wanapokwenda nje ya nchi kufanya maonesho au kushiriki shughuli yoyote ya Sanaa ili kuepuka matatizo na mikanganyiko mbalimbali inayoweza kujitokeza.

Read more...

TANGAZO KWA WASANII WOTE NA VYOMBO VYA HABARI

Tarehe: 17/07/2015

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MSANII RAMADHAN ALLY MASANJA MAARUFU KAMA BANZA STONE

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Msanii wa muziki wa dansi Ramadhan Ally Masanja (Banza Stone) kilichotokea nyumbani kwao Sinza jijini Dar es Salaam leo mchana siku ya Ijumaa ya tarehe 17/07/2015 baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read more...

TANGAZO KWA WASANII WOTE NA VYOMBO VYA HABARI

Tarehe: 03/07/2015

BASATA YAMJULIA HALI MSANII RAMADHAN MASANJA AKA BANZA STONE

Timu ya watendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ikiongozwa na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Bi. Vivian Nsao Shalua mapema jana imemtembelea Msanii na mwimbaji wa muziki wa Bendi ndugu Ramadhan Masanja "Banza Stone" ambaye kwa sasa amekuwa akiugua nyumbani kwao maeneo ya Sinza Jijini Dar es Salaam.

Read more...

Tarehe: 30/06/2015

WASANII WAOMBA KUPUNGUZIWA KODI KWENYE VIFAA VYA MUZIKI

Na Mwandishi Wetu

Baadhi ya wasanii nchini wameiomba Serikali kupitia Wizara ya Fedha kufikiria kupunguza au kufuta kabisa ushuru wa forodha unaotozwa kwenye vifaa vya muziki wanavyoagiza kutoka nje ili kukuza Sanaa na kusaidia mamilioni ya vijana ambao wamejiajiri kupitia sekta hiyo.

Read more...

Tarehe: 15/06/2015

BASATA LAWATAKA WASANII KUWA TAYARI KUKOSOLEWA

Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa wito kwa wasanii kuacha tabia ya kulewa umaarufu na kuchukia pale wanapokosolewa kwani kazi yoyote ya Sanaa lazima ikosolewe ili iwe bora na yenye kuvutia.

Read more...

TANGAZO KWA WASANII WOTE

Tarehe: 15/06/2015

YAH: MWALIKO WA KUSHIRIKI TAMASHA LA UTAMADUNI JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JAMAFEST � 2015

Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.

Baraza la Sanaa la Taifa limepokea taarifa ya mwaliko kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuwa Tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki linatarajiwa kufanyika nchini Kenya, jijini Nairobi, kwa siku 8 kuanzia tarehe 2 � 9 Agosti, 2015.

Read more...

TANGAZO KWA WASANII WOTE

Tarehe: 15/06/2015

YAH: MWALIKO WA KIKUNDI CHA SANAA KUSHIRIKI KATIKA MAONESHO YA KILA MWAKA YA ZAMBIA KUANZIA TAREHE 29 JULAI, HADI 03 AGOSTI, 2015.

Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.

Baraza la Sanaa la Taifa limepokea taarifa ya mwaliko tajwa kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuwa Wizara ya Kilimo na chama cha Kijamii nchini Zambia imeandaa maonesho ya Sanaa yatakayofanyika kuanzia tarehe 29 Julai, hadi 03 Agosti, 2015.

Read more...

TANGAZO KWA WASANII WOTE

Tarehe: 12/05/2015

BASATA YALAANI TABIA CHAFU NA ISIYO NA MAADILI ILIYOONESHWA NA MSANII SHILOLE KWENYE ONESHO LAKE NCHINI UBELIGIJI

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini limeona picha chafu na zisizo na maadili za Msanii Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole alipokuwa akifanya onesho lake nchini Ubeligiji hivi karibuni.

Read more...

TANGAZO KWA WASANII WOTE

Tarehe: 06/05/2015

YAH: MWALIKO WA KUSHIRIKI MAONESHO YA SANAA NA UTAMADUNI NA SIKU YA AFRIKA TAREHE 20-25 MEI, 2015

Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.

Baraza la Sanaa la Taifa limepokea taarifa ya mwaliko tajwa kuwa mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kwa kushirikiana na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wanaandaa kwa pamoja maonesho ya pili ya Sanaa na Utamaduni na Siku ya Afrika yatakayofanyika kwenye uwanja wa Mwalimu J.K. Nyerere, Dar es Salaam kuanzia tarehe 20 mpaka 25 Mei, 2015.

Read more...



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tarehe: 30/04/2015

BASATA, TCRA WATAKA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO YA KIJAMII KWA WASANII
Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na mamlaka ya mawasiliano nchini (TCRA) mapema wiki hii wamelaani matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii miongoni mwa wasanii wakati wa programu ya Jukwaa la Sanaa iliyofanyika makao makuu ya Baraza hilo yaliyoko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam.

Read more...



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tarehe: 24/04/2015

KUSIMAMISHWA KWA SHINDANO LA UREMBO LA MISS TANZANIA KWA MISIMU MIWILI KUKO PALEPALE

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari na mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba shindano la urembo nchini maarufu kwa jina la Miss Tanzania limefunguliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na kwamba Kampuni ya Lino International Agency LTD ambayo ni waendeshaji wa shindano hilo imewataka mawakala wake kuanza maandalizi ya shindano hilo.

Read more...



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tarehe: 17/04/2015

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MSANII CHIJWELE CHE MUNDUGWAO

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Msanii wa muziki wa asili Chijwele Chemundugwao kilichotokea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam leo mapema Asubuhi ya Alhamisi ya tarehe 16/04/2015 baada ya kuugua kwa muda mrefu. .

Read more...



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tarehe: 03/04/2015

BASATA YAPIGA MARUFUKU DISKO TOTO NA UKIUKAJI WA SHERIA ZA UENDESHAJI KUMBI ZA BURUDANI KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU YA PASAKA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini linawakumbusha wamiliki na waendeshaji wa kumbi za burudani kufuata sheria, kanuni na taratibu walizopewa kwenye vibali vyao vya uendeshaji wa kumbi.

Read more...



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tarehe: 31/03/2015

WASANII WATAKIWA KUHIFADHI KAZI ZAO, KUMBUKUMBU
Na Mwandishi Wetu

Wasanii nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kuhifadhi kazi zao na kumbukumbu mbalimbali zinazowahusu ili kuepuka kupotea, kusahaulika na kuwezesha kuzirithisha kwa vizazi vijavyo.

Read more...



Tarehe: 03/03/2015

BASATA KUENDESHA PROGRAM YA MAFUNZO YA SANAA KWA WATOTO WAPATAO 215 KUTOKA WILAYA YA TEMEKE MKOA WA DAR ES SALAAM.

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lenye dhamana ya kufufua, kukuza na kuendeleza Sanaa kwa kushirikiana na taasisi ya Ako'mungoma Poverty Alleviation Organization (APAO) linaendesha programu ya wiki tatu ya Sanaa kwa watoto katika Wilaya ya Temeke Mkoani Dar es Salaam.

Read more...



BASATA YATOA ELIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA WASANII

Na Mwandishi Wetu

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kupitia programu yake ya Jukwaa la Sanaa wiki hii limetoa elimu kwa wasanii kuhusu maudhui ya katiba inayopendekezwa hasa ibara ya 59 ya katiba hiyo inayohusu sekta ya Sanaa.

Read more...



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MHESHIMIWA CAPTAIN JOHN DAMIAN KOMBA (MB)

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Captain John Damian Komba kilichotokea jioni ya Jumamosi ya tarehe 28/02/2015.
Captain John Damian Komba ni msanii na mdau wa muda mrefu wa sekta ya Sanaa nchini. Amekuwa ni taa na nuru ambayo katika kipindi chote cha uhai wake imeangaza na kutoa mwanga angavu kwenye sekta ya Sanaa.

Read more...



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Mke wa Msanii mkongwe wa muziki wa dansi na Mjumbe wa Bodi ya BASATA Bw. John Kitime kilichotokea mwishoni mwa wiki iliyopita usiku wa kuamkia Ijumaa ya Tarehe 13/02/2015.


Aidha, BASATA linatoa salamu rambirambi kwa kifo cha Baba Mzazi wa Msanii Dully Sykes, Mzee Abby Sykes kilichotokea jana Jumapili ya Tarehe 15/02/2015.

Read more...



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

GODFREY L. MNGEREZA ATEULIWA KUWA KATIBU MTENDAJI WA BASATA
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linapenda kuwatangazia Wasanii na wadau wote wa Sanaa nchini kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kifungu namba 5 (1) cha Sheria namba 23 ya mwaka 1984 iliyolianzisha Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) amemteua ndugu Godfrey Lebejo Mngereza kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).

Read more...



BASATA YAHIMIZA MSHIKAMANO WA WASANII

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewataka wasanii kujenga ushirikiano kupitia vyama na mashirikisho yao ili kuhakikisha kunakuwa na mfumo rasmi na unaoeleweka wa uendeshaji wa tasnia ya sanaa nchini.
Read more...

Copyright © 2021. All Rights Reserved.