Naibu Katibu Mkuu OR-Maendeleo ya vijana Dkt Kedmon E. Mapana (Kulia) akikabidhi Ofisi kwa Kaimu Katibu Mtendaji BASATA Bwana Edward E. Buganga (Kushoto), awali Dkt Mapana alikuwa Katibu Mtendaji BASATA kuanzia Julai, 2022 hadi Novemba, 2025 alipoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kushika nafasi hiyo ya naibu Katibu Mkuu anayohudumu kwa sasa.
Watumishi wa BASATA waadhimisha wiki ya basata ikiwa ni muendelezo wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja