Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Bodi BASATA Ndugu Mgunga A. Mwamnyenyelwa (Mjumbe wa Bodi) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa idara ya ukuzaji na maendeleo ya sanaa mara baada ya kutoa hotuba ya ufunguzi wa mafunzo ya huduma kwa wateja yanayotelewa kwa watumishi wa Baraza tarehe 17 na 18 Machi, 2025 katika ukumbi wa TAMISEMI Dar es salaam ili kuimarisha mfumo wa utoaji huduma kwa wadau wa sanaa nchini

Mgeni rasmi ambaye ni Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Bodi BASATA Ndugu Mgunga A. Mwamnyenyelwa (Mjumbe wa Bodi) akielekea ukumbini kwaajili ya ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili kwa watumishi wa Baraza tarehe 17 na 18 Machi, 2025 katika ukumbi wa TAMISEMI Dar es salaam ili kuimarisha mfumo wa utoaji huduma kwa wadau wa sanaa nchini, kulia kwake ni Kaimu Katibu Mtendaji BASATA Ndugu Edward E. Buganga na Kushoto kwa mgeni rasmi ni Mkurugenzi msaidizi utawala na Rasilimali watu Bwana. Nuru Namoroma.
Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Bodi BASATA Ndugu Mgunga A. Mwamnyenyelwa (Mjumbe wa Bodi) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa ofisi ya Utawala na vitengo mara baada ya kutoa hotuba ya ufunguzi wa mafunzo ya huduma kwa wateja yanayotelewa kwa watumishi wa Baraza tarehe 17 na 18 Machi, 2025 katika ukumbi wa TAMISEMI Dar es salaam ili kuimarisha mfumo wa utoaji huduma kwa wadau wa sanaa nchini
Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Bodi BASATA Ndugu Mgunga A. Mwamnyenyelwa (Mjumbe wa Bodi) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa ofisi ya Utawala na vitengo mara baada ya kutoa hotuba ya ufunguzi wa mafunzo ya huduma kwa wateja yanayotelewa kwa watumishi wa Baraza tarehe 17 na 18 Machi, 2025 katika ukumbi wa TAMISEMI Dar es salaam ili kuimarisha mfumo wa utoaji huduma kwa wadau wa sanaa nchini.
Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Bodi BASATA Ndugu Mgunga A. Mwamnyenyelwa (Mjumbe wa Bodi) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo mara baada ya kutoa hotuba ya ufunguzi wakati wa mafunzo ya siku mbili kwa watumishi wa Baraza tarehe 17 na 18 Machi, 2025 katika ukumbi wa TAMISEMI Dar es salaam ili kuimarisha mfumo wa utoaji huduma kwa wadau wa sanaa nchini.