Parliament Logo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baraza la Sanaa la Taifa

Matokeo ya Sensa ya...

14 Jun, 2024 08:00AM-15:30PM Dar es salaam
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kwa Wasanii

Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kwa Wasanii ambapo jumla ya wasanii ni 96,727 

Tanzania bara 88,365

Zanzibar 8,362

Mkoa wa Dar es salaam umeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wasanii wapatao 25,262.

Settings