Parliament Logo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baraza la Sanaa la Taifa

BASATA BODABODA VIBE...

28 May, 2024 04:am-00:pm Ilala, Vingunguti
BASATA BODABODA VIBES

Tukio la Basata vibes Dar es salaam litafanyika wilayani Ilala kwa lengo la kutafuta vipaji kwa maafisa Usafirishaji Al maarufu Kama Bodaboda. Tukio linatatibiwa na BASATa kwa kushirikiana na Kituo çha utamaduni cha ufaransa

Settings