
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi na wageni mbalimbali kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasanii wa Komedi Tanzania (TCA) iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.